Jamii ya Wasomali wanakabiliwa na changamoto ya utoaji vitambulisho

  • | Citizen TV
    566 views

    Jamii ya Wasomali wanaoishi Maungu eneobunge la Voi kaunti ya Taita Taveta wanalalamikia shughuli ya utoaji wa vitambulisho wakisema kuwa wanapata changamoto kubwa za kupewa vitambulisho licha ya kuishi eneo hilo kwa zaidi ya miaka 30. Hali hiyo imewafanya kuhisi kutengwa na serikali kuu na ile ya kaunti.