Jamii ya waswahili watakiwa kudumisha mila, tamaduni na historia za kisiwani Lamu

  • | Citizen TV
    232 views

    Jamii za kaunti ya Lamu hasa watu wa Waswahili wamefahamika pakubwa kudumisha mila, tamaduni na historia za eneo hilo la kisiwani. Historia nyingi zikinakiliwa kwenye makavazi ya Lamu kwa miaka mingi, wakaazi wameonekana kuiga mengi yaliyotangulia kitamaduni kama vile mapambo, mavazi na hata ngoma za kitamaduni.