Jamii yakataa ardhi yao itengwe kwa matumizi ya umma eneo la Mandera Mashariki

  • | Citizen TV
    185 views

    Mzozo wa ardhi unatokota baina ya jamii inayoishi eneo la Mandera Mashariki na serikali ya kaunti hiyo baada ya waziri wa ardhi wa kaunti hiyo Salah Alio kupendekeza kuwa sehemu ya ardhi ya jamii igeuzwe kuwa ardhi ya umma.