Jamii za Marsabit na Isiolo zapata changamoto za kusajili ardhi

  • | Citizen TV
    158 views

    Jamii zinazoishi kaunti za Marsabit na Isiolo zinakabiliwa na hatari ya kufurushwa na kudhulumiwa na wawekezaji wa kibinafsi kutokana na changamoto za kusajili ardhi ya kijamii. Hali hii imezua migogoro ya ardhi, kwani wenyeji wanapambana kulinda haki zao.