Jamii za wafugaji Isiolo na Samburu zaandaa msafara

  • | Citizen TV
    583 views

    Jamii za wafugaji kutoka kaunti ya Isiolo na kaunti ya Samburu wameshiriki kwenye msafara wa kushinikiza amani baina ya jamii zinazoishi kwenye mpaka wa samburu na isiolo. Msafara huo unalenga kudumisha amani kati jamii hizo mbili ambazo zimekabiliwa na migogoro inayochochewa na wizi wa mifugo.