Jamii za wafugaji zataka kina mama wawezeshwe kiuchumi

  • | Citizen TV
    432 views

    Wanawake wanaoishi katika maeneo ya wafugaji sasa wanatambuliwa kama nguzo muhimu ya mabadiliko ya kiuchumi, iwapo watawezeshwa kifedha.