JAMVI LA SEMA: Ushawishi wa Kampeini za Wanawake [Part 1]

  • | Citizen TV
    138 views

    Wanawake wengi wanawafanyia kampeni wanasiasa na kuwatafutia wafuasi Wanawake huwashawishi wafuasi kuhudhuria hafla za kisiasa Wanawake wengi husaidia wanasiasa kuuza ajenda zao mashinani Je, wanawake hawa hutumia vigezo gani kuvutia wapigakura Hatma ya wanawake wanaowapigia debe wanasiasa ni ipi? Wanawake hupitia changamoto zipi wanapowatafutia wanasiasa kura?