Janga la corona na ukosefu wa ajira zachangia magonjwa ya akili

  • | Citizen TV
    252 views

    Changamoto ya Maisha pamoja na kupanda Kwa gharama ya Maisha kumetajwa kama baadhi ya mambo zinachangia katika visa vya wapenzi kuuwana. Viongozi wa kidini kaunti ya Mombasa wameandaa kongamano la siku mbili kaunti ya Mombasa ili kuwapa ushauri wanaume waweze kustahimili changamoto hizo na kuepuka visa vya mauwaji. Kasisi Richard Otieno wa kanisa la kianglikana Mombasa amekariri kuwa janga la covid na ukosefu wa kazi zimeathiri pakubwa wanaume baada ya Hali Yao ya Maisha kubadilika.