Janga la Covid-19: Jackson Mwaura anasimulia jinsi kanisa lilinusuru maisha yake

  • | KBC Video
    Janga la Covid-19 limetajwa kuwa kiini cha ongezeko la ghasia za nyumbani na kuvunjika kwa ndoa hapa nchini.Familia nyingi zimetengana baada ya kushindwa kujimudu maishani kutokana na hali ngumu ya kiuchumi iliyosababishwa na janga hilo.Mmoja wa waathiriwa Jackson Mwaura anasimulia jinsi kanisa lilinusuru maisha yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive