Janga la Mafuriko | Watu 70 wamefariki kwenye mafuriko nchini

  • | Citizen TV
    5,906 views

    Mvua kubwa iliyosababisha mafuriko katika maeneo mengi nchini. Zaidi ya familia elfu 130 zimeathirika pakubwa, watu wengi wakipoteza makao yao. Shirika la Msalaba Mwekundu limetakiwa kuipa kipaumbele kaunti ya Nairobi. Serikali imetenga shilingi bilioni nne za kuwasaidia walioathirika na mafurko haya..