JARIDA LA WIKIENDI: DRC ipo tayari kwa walinda amani kuondoka?

  • | VOA Swahili
    869 views
    - - - - - #VOASwahili Katika Jarida la Wikiendi wiki hii tunaangazia kuharakishwa kwa mchakato wa kuyaondoa makundi ya kulinda amani MONUSCO Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambavyo vimekaa kwa miaka zaidi ya 20 kwa madai kuwa yameshindwa kurejesha amani mashariki kwa DRC.