- 1,023 viewsUshawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
JARIDA LA WIKIENDI: linaangazia ushawishi wa Wanawake katika uongozi Afrika Mashariki
- - Taarifa za Biashara ››
- 18 Jun 2025 - The gunmen attacked after dark and chased farmer Fidelis Adidi away from the central Nigerian village of Yelwata. The next morning, he returned to find the charred remains of one of his two wives and four of his children.
- 18 Jun 2025 - Togo has suspended broadcasts of French state-funded international news outlets RFI and France 24 for three months, its communications authority said on Monday, accusing them of a lack of impartiality and rigour.
- 18 Jun 2025 - Russia launched dozens of drones and missiles at Kyiv in the early hours of Tuesday, killing at least 10 people and wounding dozens of others, as negotiations faltered between Kyiv and Moscow.
- 18 Jun 2025 - Detectives investigating the murder of blogger Albert Ojwang’ were yesterday sifting through the call data records (CDR) to establish any possible communication between Deputy Inspector General of Police Eliud Lagat and the officers linked to the death…
- 18 Jun 2025 - The Senate and the National Assembly have, for the third time, failed to agree on equitable revenue sharing for county governments in the 2025-26 financial year, with both houses maintaining hardline stances during ongoing mediation. During the June 17…
- 18 Jun 2025 - A group of former political prisoners has called on Raila Odinga’s opposition faction to withdraw from the broad-based government, arguing this would pave the way for forming a new administration. The group – including prominent figures such as Oginga…
- 18 Jun 2025 - A man was shot at point-blank range and a number of other people injured on Tuesday, June 17, 2025, as Kenya ebbed into the throes of widespread unrest, with the current wave of protests plunging the government into confusion and uncertainty. The man…
- 18 Jun 2025 - From pitching tents to the sought-after events planner
- 18 Jun 2025 - CAK eyes forensic lab, stricter laws to enhance consumer protection
- 18 Jun 2025 - Red Cross on the spot over evacuating MPs instead of injured protesters