- 1,551 viewsJarida linaangazia hali ya siasa nchini Msumbuji baada ya kutangazwa na kuidhinishwa kwa matokeo ya uchaguzi ambapo watu zaidi ya 300 wameuawa, 2,000 kujeruniwa na maelfu kukimbilia katika nchi jirani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
JARIDA LA WIKIENDI: Watu 300 wauawa Msumbiji kufuatia ghasia za uchaguzi
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 1 May 2025 - The 76-year-old born into a humble family of 10 children is the first clergyman from the west African country to receive a red hat, having been made cardinal in 2003 by John Paul II.
- 1 May 2025 - National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has described Kasipul Member of Parliament Charles Were, who was shot dead on Wednesday evening in Nairobi, as a fearless and committed public servant.
- 1 May 2025 - In a Wednesday statement released by the Office of the Inspector General, the incident occurred at approximately 7:30 p.m. on Wednesday along Ngong Road, near the City Mortuary roundabout.
- 1 May 2025 - The defeated Democrat told supporters the apparent "chaos" of the last three months was actually the realization of a long-cherished plan by conservatives who are using Trump to twist the United States to their own advantage.
- 1 May 2025 - South Africa's President Cyril Ramaphosa is setting up a judicial commission of inquiry to establish whether attempts were made to prevent the investigation or prosecution of apartheid-era crimes, his office said on Wednesday.
- 1 May 2025 - Iran on Wednesday executed a man convicted of espionage for Israel's Mossad spy agency and involvement in the 2022 assassination of a Revolutionary Guards colonel, the judiciary said.
- - Labour Day Celebrations 2025
- 1 May 2025 - The government plans to lease out four public sugar factories—Nzoia, Chemilil, Muhoroni and Sony—under a carefully structured process that has received strong backing from some key industry stakeholders. The initiative, spearheaded by a committee led by…
- 1 May 2025 - They have described the late MP as a humble, gallant and dedicated servant of the people.
- 1 May 2025 - Gor Mahia midfield maestro Austin Odhiambo has declared his team’s readiness for the Football Kenya Federation (FKF) Cup quarterfinal clash against Kariobangi Sharks. Sinisa Mihic’s team faces off against Sharks this Thursday, May 1, 2025, in Dandora…