Je Afrika Mashariki itaandika historia kwenye CHAN 2024?

  • | BBC Swahili
    1,104 views
    Michuano ya CHAN 2024 itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania. Hapo awali mashindano hayo yalikusudiwa kufanyika Februari 1-28, lakini yaliahirishwa kwa lengo la kutoa muda zaidi kwa nchi waandaaji kufanya maandalizi. @official _kelvinkimathi anaelezea 🎥: Brianmla #bbcswahili #kandanda #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw