Je, alitabiri kifo chake? Marehemu jenerali Ogolla alizungumzia wepesi wa maisha

  • | KBC Video
    620 views

    “Kila nafsi itaonja Mauti” Ni kauli ambayo mkuu wa majeshi Marehemu jenerali Ogolla aliyoamini. Akienziwa kama mtu aliyekuwa na imani thabiti, mnyenyekevu, mtu aliyejali familia na kiongozi ila kwa wengi walimtazama kama mtu aliyetabiri kifo chake. #DirayaMagwiji

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive