- 13,040 viewsDuration: 1:16Mpaka sasa, Arsenal wana alama 70 baada ya mechi 33. Lakini nyuma yao, Manchester City ambao wengi huwaita “jinamizi” la mbio za ubingwa wanawafuata kwa karibu sana wakiwa na alama 67 baada ya mechi 32. Tofauti ya alama tatu tu, maana yake ni kwamba mechi moja pekee inaweza kubadilisha kila kitu. Sasa swali linabaki: Kwa nini mashabiki wa Gunners wanaanza kupata mchecheto mapema sana, je ni presha ya historia, uzoefu wa City, au hofu ya kupoteza ubingwa dakika za mwisho? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw