Je, Arsenal wanaweza kuwa wapinzani wa muda mrefu wa Manchester?

  • | VOA Swahili
    132 views
    Katika kona ya michezo hii leo Pep Guardiola anaamini Arsenal wanaweza kuwa wapinzani wa muda mrefu wa Manchester City. Ungana na mwandishi wetu akikuletea utabiri huo na michuano mengine huku akikupa taarifa za michuano mbalimbali. Endelea kumsikiliza... #arsenal #manchestercity #mtanage #michuano #pepguardiola #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.