Je Benjamin Netanyahu wa Israel na mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman walikutana ?

  • | BBC Swahili
    Hujambo? Karibu katika AMKA NA BBC Habari kuu asubuhii hii... Mgogoro wa Ethiopia waendelea kupamba moto, kiongozi wa mkoa wa Tigray akataa kujisalimisha, upinzani wadai hilo lilitarajiwa. Kiongozi wa waasi Mashariki mwa DRC Ntabo Ntaberi ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kufanya uhalifu dhidi ya binaadam, hukumu hiyo imepokelewaje na wanaharakati? Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia akanusha madai ya mazungumzo ya siri kati ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mwanamfalme Mohammed bin Salman. Utakuwa nami Regina Mziwanda na michezoni mwenyeji wako ni David Nkya AMKA NA BBC