Je chanzo cha utajiri wa Kanisa Katoliki kinatokana na nini?

  • | BBC Swahili
    6,122 views
    Kanisa Katoliki lina utajiri mkubwa sana duniani, lakini kiasi halisi cha mali na fedha zake ni vigumu kubainika kwa usahihi kwa sababu za siri za kiendeshaji, mali mbalimbali zinazomilikiwa duniani kote, na taasisi nyingi chini ya kanisa hilo. @frankmavura anaelezea 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #vatikani #katoliki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw