Je Chloroquine inaponya corona au ni hatari kwa watumiaji

  • | VOA Swahili
    Dhana ya kwamba dawa ya Chlorquine ni jawabu la corona imeenea duniani kote ambapo katika bara la Afrika dawa hiyo inayofahamika kwa kutibu malaria imekuwa adimu makudani . Swali ni kwamba Je Chloroquine inaponya corona au ni hatari kwa watumiaji? ungana na mwandishi wetu kwa undani zaidi.