Je, demokrasia ya Senegal ipo hatarini?

  • | BBC Swahili
    504 views
    "Rais hawezi kuongeza muda wake wa uongozi, hata kwa siku moja". Haya yalikuwa maneno ya rais wa Senegal Macky Sall kabla ya kuchaguliwa kwake mwaka 2012, lakini je, ametekeleza maneno haya? Senegal imeingia katika sintofahamu kwa mara nyingine baada ya uchaguzi wa nchi hiyo kucheleweshwa kwa miezi kumi na rais anayemaliza muda wake ambaye aliahidi amani na utulivu kwa nchi yake. #bbcswahili #senegal #uchaguzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw