Je, gari la James Bond linarejea katika soko?

  • | VOA Swahili
    48 views
    Gari linalofanana na lile katika filamu ya James Bond: Ni gari la kisasa linatumia Artificial Intelligence. Ni kama magari mawili katika moja. Katika maonyesho yalifanyika wiki iliyopita hapa mjini Washington, DC, Sunday Shomari alihudhuria maonyesho hayo na anakuletea maelezo ya kina kuhusu aina ya gari, thamani yake, utumiaji wake, uendeshaji na jinsi unavyoweza kuongea na gari yako. Sikiliza habari kamili... #maonyesho #magari #magariyaumeme #artificialintelligence #conventioncenter #washingtondc #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.