- 9,595 viewsDuration: 1:44Zimesalia siku chache kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia la 2026, Michuano itayochezwa katika mataifa ya Marekani, Canada na Mexico. Michuano hii huenda ikawa ndio mwisho wa Zama za Kizazi bora cha soka kilichotawala kwa zaidi ya miaka 15. Ronaldo na Messi miongoni mwa nyota wakubwa ambao huenda ikawa michuano yao ya mwisho kucheza. Omary Mkambala ametuandalia nyota wa soka ambao huenda hii ndio michuano yao ya mwisho ya Kombe la dunia Video: Bosha Nyanje #bbcswahili #kandanda #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw