Skip to main content
Skip to main content

Je, Iran italegeza kamba na kuachilia mafuta kupita katika bahari ya Hormuz? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    20,924 views
    Duration: 28:10
    Nchi 32 wanachama wa Shirika la Kimataifa la nishati IEA zimekubali kutoa akiba zao za mafuta, hiki kikiwa ni kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutolewa - katika juhudi za kutuliza hali ya uchumi duniani huku vita kati ya Marekani Israel na Iran vikiendelea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw