Je kauli za Kanye West zimemsababishia hasara ya pesa kiasi gani?

  • | BBC Swahili
    825 views
    Kanye West, rapper anayejulikana kwa jina la Ye, inadaiwa si bilionea tena. amepoteza mamilioni ya dola baada ya Adidas kusitisha ushirikiano wake na Ye, kufuatia machapisho yake ya chuki dhidi ya Wayahudi kwenye mitandao ya kijamii. Hapa tunaangalia athari za kifedha alizopata kutokana na maoni yake. #bbcswahili #kanyewest #hiphopmusic