- 1,769 viewsDuration: 1:56Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuwa ili muziki wa Tanzania ufanye vizuri zaidi kimataifa ni Lazima kutumia lugha ya kingereza ambayo inazunguzwa na katika maeneo mengi duniani haswa kwenye mazungumzo ya Kibiashara Wasanii wa utamaduni wa Hip Hop @mex.tz na @fredrickmulla wanatoa mtazamo wao pia wakizungumzia mradi wao mpya wa EP ambayo inawimbo Kama King Kong ambao unafanya vizuri kwa sasa katika soko la muziki Afrika Mashariki. Wasanii hawa walizingumza na @loko_omi #bbcswahili #tanzania #nyotawafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw