Skip to main content
Skip to main content

Je kingereza ni muhimu katika muziki wa Afrika Mashariki?

  • | BBC Swahili
    1,291 views
    Duration: 32:18
    Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuwa ili muziki wa Tanzania ufanye vizuri zaidi kimataifa ni Lazima kutumia lugha ya kingereza ambayo inazunguzwa na katika maeneo mengi dunia haswa kwenye mzungumzo ya Kibiashara Wasanii wa utamaduni wa Hip Hop Fredrick Mulla na Mex Cortez wanatoa mtazamo wapi pia wakizungumzia mradi wao mpya wa EP ambayo inawimbo Kama King Kong ambao unafanya vizuri kwa sasa katika soko la muziki Afrika Mashariki Wasanii hawa walizingumza na Loko Omi wa BBC #bbcswahili #tanzania #nyotawafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw