Je, kuna uthibitisho wowote kuwa uchumi wa Zimbabwe umekuwa unakua kwa haraka sana?

  • | VOA Swahili
    284 views
    Katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa uliomalizika hivi karibuni Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa alisema uchumi wa nchi yake ulikuwa unakua kwa haraka sana huko Kusini mwa Afrika. Ungana na mwandishi wetu akiripoti picha halisi ya hali ya wananchi wa Zimbabwe jinsi maisha yalivyoendelea kuwa magumu. Endelea kusikiliza... #mkutano #baraza #umojawamataifa #rais #zimbabwe #emmersonmnangagwa #uchumi #kusini #afrika #uchumi #wananchi #hali #maisha #voa #voaswahili #ajira - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.