Skip to main content
Skip to main content

Je, maji yanageuka kuwa silaha mpya ya vita?

  • | BBC Swahili
    18,191 views
    Duration: 2:37
    Katika vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, miundombinu ya maji kama mitambo ya kuchuja maji ya bahari imeanza kulengwa katika mashambulizi. Wachambuzi wanaonya kwamba kushambulia vituo hivi kunaweza kuleta changamoto ya maji ya kunywa kwa maelfu ya watu na kuleta mgogoro wa kibinadamu. Victor Kenani anaelezea kwa kina #bbcswahili #iran #israelnamarekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw