Skip to main content
Skip to main content

Je, makombora ya Iran yanaweza kufika hadi miji ya London au Paris?

  • | BBC Swahili
    35,089 views
    Duration: 2:20
    Hili ndilo swali linalozua hofu baada ya Iran kujaribu kushambulia kambi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza katika kisiwa cha Diego Garcia. Kambi hiyo iko umbali wa karibu kilomita elfu nne kutoka Iran. Makombora mawili yalirushwa. Moja lilishindwa kufika, lingine likadunguliwa angani. Lakini hata jaribio hilo limebadilisha mjadala wa wataalamu wa usalama na ulinzi kote barani ulaya. Hali hii, Inaonyesha kuwa Iran inaweza kushambulia mpaka umbali mkubwa kuliko ilivyodai awali. @carorobi na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #makombora #iran #israel #ulaya #parĂ­s #london Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw