Je, makubaliano ya ulinzi kati ya Somaliland na Ethiopia yanaweza kuvuruga utulivu pembe ya Afrika?

  • | VOA Swahili
    103 views
    Somalia imeingia mkataba wa ulinzi na Uturuki ikisisitiza kwamba inajiimarisha kijeshi kulinda mipaka yake baada ya Ethiopia kukubaliana na Somaliland kuunda jeshi la majini kwenye sehemu ya Somaliland, hatua ambayo Somalia inasema ni ya uchokozi. #jaridalawikiendi #somaliland #ethiopia #pembeyaafrika #voa #voaswahili #uturuki #bahari