- 9,379 viewsDuration: 1:34Soka mara nyingi huwa zaidi ya matokeo ya uwanjani na inaweza kuwa ahadi, uvumilivu na uaminifu wa mashabiki kwa timu zao. Frank Ilett ni shabiki wa Man United aliyeweka ahadi ya kutokunyoa mpaka timu yake ishinde michezo mitano mfululizo. Shabiki Huyu hajanyoa toka Oktoba 2024 na bado anasubiri Manchester United wafikishe ushindi wa tano mfululizo ili hatimaye aweze kunyoa nywele zake - - #bbcswahili #soka #manchesterunited #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw