Je Marekani itafaidi kupata mgao wa Madini DRC? Katika dira Ya dunia TV

  • | BBC Swahili
    989 views
    Mkataba wa amani kati ya serikali ya DRC na Rwanda umeleta matumaini mapya ya amani katika eneo la Mashariki mwa DRC. Lakini wakaazi na viongozi wa maeneo haya wana maoni tofauti kuhusu ikiwa mpango huo utamaliza mapigano. Sasa Marekani imejikuta kati kati ya mzozo huu, huku nayo ikitaka mgao wake.