Je, misaada itafaulu kukomesha janga la njaa Gaza? Katika ya Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,386 views
    Afisa mkuu wa misaada wa umoja wa mataifa, Tom Fletcher, amekaribisha uamuzi wa Israel wa kuruhusu misaada zaidi kuingia Gaza. Ameongeza kwamba mengi zaidi yanahitaji kufanyika ili kuepuka janga la kiafya ,akisema kwamba utoaji misaada unafanyika kwa kasi ndogo sana.