Skip to main content
Skip to main content

Je Mpasuko wa 'chungwa' ndio kifo cha chama cha Raila Odinga - ODM?

  • | BBC Swahili
    10,313 views
    Duration: 2:11
    Baadhi ya wafuasi chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya na hata wachambuzi wa kisiasa wanasema kwamba chama hiko kinaweza kufa na kuzikwa baada ya mwanzilishi wake na kinara wa muda mrefu Raila Odinga kufariki mwezi Oktoka 2025. Je hili lina ukweli? @Laillah Mohammed anaelezea kwa kina 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #kenya #RailaOdinga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw