Je, mwani unaweza kulisha ulimwengu?

  • | BBC Swahili
    785 views
    Mabadiliko ya tabia nchi , ambayo huleta ukame mkali wa mara kwa mara na mafuriko, yanafanya kuwa vigumu kuzalisha chakula cha kutosha. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, uzalishaji wa chakula duniani lazima uongezeke kwa 70% ifikapo mwaka 2050. Mwani una uwezo wa kusaidia kulisha idadi ya watu inayoongezeka duniani, na pia ni nzuri kwa afya yako na mazingira. #bbcswahili #mwani #uingereza subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw