Je mwarobaini wa PSG umepatikana?

  • | BBC Swahili
    2,249 views
    Katika kile kilichoonekana kama anguko la kifalme kwa mabingwa wa Ulaya na Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG), Chelsea waliwasha moto New Jersey kwa ushindi wa kusisimua wa 3-0 kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu. Kwa ushindi huo, vijana wa Enzo Maresca si tu walitwaa ubingwa wa dunia, bali pia waliwapa PSG ladha ya kile ambacho wengi sasa wanakiita, mwarobaini wao wa kweli. Mwandishi wa BBC @frankmavura ameuangazia mtanange huo kabambe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw