Je ni rahisi kutumia malipo ya simu au pesa taslimu nchini mwako?

  • | BBC Swahili
    Je, unaweza ukafanya biashara na shughuli zako kwa siku nzima bila kutumia pesa taslimu? Katika makala haya, tunaangazia hatua zilizopigwa katika sekta ya ifumo ya dijitali nchini Kenya na DR Congo. #Mpesa #Tigopesa #BiasharaBomba