Je! Nini hatma mtoto mkimbizi wa Rohingya aliyebahatika kuishi?

  • | BBC Swahili
    468 views
    Anwar Sadiq alikuwa amezaliwa saa chache tu wakati timu ya BBC ilipokutana naye kwa mara ya kwanza katika kambi ya wakimbizi huko Bangladesh mnamo Septemba 2017. Miaka mitano baadaye, mvulana huyo mdogo ambaye aliingia ulimwenguni katika mazingira hatarishi bado anaishi huku kukiwa na njaa, magonjwa na majeraha yasiyofutika akilini huku kukiwa na matarajio hafifu kama mambo yatakuwa bora #bbcswahili #Rohingya #wakimbizi