Je Papa na Kanisa Katoliki ana nguvu kiasi gani

  • | BBC Swahili
    21,934 views
    Papa anachukuliwa kuwa mmoja wa watu wenye nguvu kubwa zaidi duniani kutokana na ushawishi mkubwa wa kidiplomasia, kitamaduni, kiroho kwa Wakatoliki bilioni 1.3 pamoja na wale wasio wa imani ya Kikatoliki na kwa sababu anaongoza taasisi kubwa ambayo pia imejikita katika kutoa elimu na afya duniani. Je Papa ana nguvu kiasi gani? Laillah Mohammed anaelezea #bbcswahili #papafrancis #vatcan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw