Je, Raila kuelekea Umoja wa Afrika ni chanzo cha ODM kusambaratika?

  • | West TV
    755 views
    Naibu Gavana wa kaunti ya Kakamega adai mwelekeo wa Raila Odinga wa kutaka kuwa mwenyekiti wa muungano wa umoja wa afrika ni njia moja ya kusambaratisha chama cha ODM