Je, Rais atafungua taifa?

  • | TV 47
    Kwa zaidi ya miezi sita sasa, taifa la Kenya limekuwa chini ya sheria mbalimbali za kudhibiti msambao wa virusi vya Korona. Lakini katika wiki za hivi karibuni, idadi ya maambukizi mapya ya Korona imeonekana kupungua. #TV47OnDSTV