Je, sekta ya burudani imeathiriwa vipi na janga la Corona?

  • | BBC Swahili
    Mlipuko wa virusi vya Corona umeathiri sekta ya burudani na kusababisha kufungwa kwa matamasha ya muziki. Wanamuziki wengi barani Afrika wamepoteza mamilioni ya pesa. Zuchu kutoka WCB Wasafi na Alicios Theluji wanaeleza jinsi walivyoathirika. #bbcswahii #sanaa #virusivyacorona