Je, tembo wanaweza kuogelea?

  • | BBC Swahili
    673 views
    Licha ya ukubwa wao, tembo ni waogeleaji wazuri. Hutumia mikonga yao kupumua na hupiga kasia kwa miguu yao yenye nguvu katika kina kirefu cha maji. Picha za ndege zisizo na rubani katika video hii zinanasa tembo wakivuka hifadhi ya maji kaskazini mwa Sri Lanka. #bbcswahili #srilanka #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw