Je timu za Afrika mashariki zina nafasi ya kufuzu AFCON 2025

  • | BBC Swahili
    3,450 views
    Timu 24 kutoka bara la Afrika zinashuka ugani kushiriki katika mechi za raundi 2 za mwisho za kusaka tiketi ya kufuzu katika michuano ya soka ya ubingwa wa mataifa ya Afrika( AFCON 2025). Je timu za Afrika mashariki zina nafasi ya kufuzu? Ahmed Bahajj anatuarifu zaidi #bbcswahili #afcon #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw