Je umeitazama Money Heist ya Ikorodu Bois ?

  • | BBC Swahili
    Ikorodu Bois raia wa Nigeria wamepata umaarufu katika tasnia ya filamu kwa kuigiza matukio katika filamu maarufu ya Money Heist inayooneshwa kwenye mtandao wa Netflix. #moneyheist #nollywood #ikorodubois #nigeria #bbcswahili #talent #sanaa #nigeriamovies #nollywood