Je umepoteza ajira kutokana na uchumi ulivyoyumba ?

  • | BBC Swahili
    Watu wengi katika sekta ya utalii, mahoteli, na biashara mbalimbali wamepoteza fursa zao za kusaka tonge kutokana na janga hili la Corona. Ni wazi uchumi kote dunini umeyumba na makampuni mengi tu yamepunguza mishahara ya wafanyakazi wao au hata kusimamisha kazi kwa muda. Katika makala haya, mwanahabari wetu Roncliffe Odit na Hamida Abubakar wanaangazia suala hili kwa kina. #Jikingeuwakingewengine #uchumi #kazinikazi #australia #kilimo #kilimobiashara #bbcswahili