Je umeshawahi kuona maji yanachemka ziwani?

  • | BBC Swahili
    3,678 views
    Mwandishi wa BBC Agnes Penda alizuru ziwa Bogoria nchini Kenya na kushuhudia maji hayo yanayochemka na kuzungumza na Mwanamazingira ili kujua chanzo chake na kuelezea jinsi mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri vyanzo vya maji moto kama hayo. 🎥: Brian Mala. #bbcswahili #kenya #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw