Je, unafahamu kuwa baadhi ya sodo zinaweza kuhatarisha afya yako?

  • | BBC Swahili
    2,905 views
    Utafiti uliochapishwa na Environmental Health Perspectives nchini Marekani umebaini kuwa baadhi ya sodo zisizo salama hutengenezwa kwa kemikali hatari kama dioxins, zinazohusishwa na hatari ya kupata saratani. - Kemikali hizi huweza kufyonzwa na ngozi na hatimaye kuingia mwilini, na kusababisha madhara ya kiafya kwa muda mrefu. - Je umewahi kugundua athari yeyote kutokana na pads unazotumia Mwandishi wa BBC Leila Mohamed anatueleza; - - 📹 @brianmala #bbcswahili #wasichana #sodo #wanawake #pedi #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw