Skip to main content
Skip to main content

Je, unafahamu kuwa kuna hifadhi ya taifainayoelea juu ya maji?

  • | BBC Swahili
    13,304 views
    Duration: 1:56
    Keibul Lamjao National Park, iliyopo kwenye Ziwa Loktak karibu na Imphal, ndiyo hifadhi pekee duniani ya aina hii. Imeundwa na phumdis-visiwa vinavyoelea vilivyotokana na mimea na udongo. Hapa ndipo anaishi Sangai deer, “kulungu anayocheza,” ambaye yuko hatarini kutoweka na hapa ndio makazi yake ya mwisho duniani. Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee @_phillys na taarifa zaidi #bbcswahili #utalii #hifadhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw